01 May, 2015

DIAMOND ATIRIRIKA JUU YA KUMVESHA PETE ZARI,NDOA MWAKAHUU

STAA wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amefunguka kuwa tayari amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Zarinah Hassan 'Zari' na anatarajia kupata mtoto wa kike mwaka huu.

Diamond ameyaongea hayo hivi punde katika Exclusive One on One Interview ya Power Breakfast ya Clouds FM na 360 ya Clouds TV kuelekea katika shoo ya Zari All White Party itakayofanyika leo usiku katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.

Katika mahojiano hayo ambayo Diamond ameambatana na mpenzi wake huyo, ameongeza kuwa anatarajia kuingia katika ndoa mwaka huu.

Kwa upande wa Zari yeye amefunguka kuwa bado hajajua jina watakalompa mtoto wao wa kike anayetarajiwa kuzaliwa mwaka huu ila watampatia jina zuri la Kiislam na lenye mvuto.

25 September, 2014

AMBER ROSE FILES FOR DIVORCE FROM WIZ KHALIFA

Amber Rose has filed for divorce from husband-of-1-year Wiz Khalifa ... and she's gunning for full custody of their kid ... TMZ has learned.

In the divorce docs -- obtained by TMZ -- Amber says they split on Monday and cites irreconcilable differences.

Amber is asking for full legal and physical custody of their 1-year-old son Sebastian. She's willing to give Wiz visitation. 
And this is interesting. Amber acknowledges there's a prenup, which you would think would work in Wiz's favor, but she says it's valid ... presumably, she's not challenging it. The docs say the prenup provides spousal support.

As for why they split, there's been a buzz over the last few days of infidelity, but there's no mention of it in the papers.

We got video (below) of Amber with some guy Tuesday in Bev Hills. Our photog asks her if Wiz is keeping a close eye on Nick Cannon -- there are rumors they've hooked up, but she's mum.

Sources connected with the couple say the split is bitter.

PHOTOS: KOURTNEY KARDASHIAN ON PREGNANT BIKINI BODY

Once again preparing to bless the world with another Spawn of Disick, Kourtney Kardashian showed off her pregnant body while lounging poolside in Los Angeles.

This will be the third child for KK and SD -- they already have son Mason, 4, and daughter Penelope, 2.

Kourtney told Scott she was preggers on the season premiere of "Keeping Up With the Kardashians" and his reaction was amazing.

And by amazing, we mean terrible.

T.I ON SERENGETI FIESTA COVER PHOTO

NISHEEDAAH!!! T.I ndo mpango mzima katika Serengeti Fiesta 2014

24 September, 2014

T.I ATIRIRIKA KWA KUMWEKA PHARELL WILLIAMS MUAANDAAJI MKUU WA ALBUM YAKE MPYA YA "PAPER WORK"

October 21, Rapper kutoka Atlanta T.I. ataachia album yake ya 9 Paperwork. Tip amemshirikisha Pharrell Williams kuwa muandaaji mkuu wa project yake hiyo mpya akiamini itapelekea kuwa combination kali  "Ukimuacha DJ Toomp, ni mara ya kwanza nimeruhusu producer kuja na kutengeneza sound yangu jinsi anayoona yeye inafaa" amesema T.I  ni lazima utafute njia ya kujitengeneza upya mwenyewe ili kuendelea kubaki katika game bila kupitwa na wakati. Na nani mwingine wa kunisaidia zaidi ya mtu ambae anakipaji na kuipenda kazi yake zaidi ya Pharel Williams,  kupitia kazi zake n amabawa yake na kuchana kwangu tume-balanc, ushirikiano huo ndio unafanya project hii iwe ya kitofauti na kipekee kabisa"
 Tip pia amewashirikisha Toomp, Timberland na Dj Mustard kwenye production ya album hiyo huku wasanii wakubwa aliowashirikisha ni pamoja na Jeezy, Iggy Azalea, Chris Brown, Boosie, Usher, Rick Ross, Skylar Grey na The-Dream.
 Paperwork  inajumuisha single yake inayofanya vizuri hivi sasa “No Mediocre” with Azalea and “About The Money” akiwa na Young Thug.
Paperwork inatarajiwa kudondoka sokoni ikifika October 21 mwaka huu (2014)

PHOTOS: DIAMOND BACK PHOTOS ON SPORAH SHOW


OFFICIAL NEW VIDEO: IYANYA - MR OREO


Tiririka na Maoni Yako Hapa!
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...